Ila Mr John Pombe aliharibu mno hata ile molari ya kutaka kutazama bunge imekwisha miongoni mwa walio wengi.
Bunge la wizi haliwezi kuhoji wizi!!Huu uzi ukiusoma kwa umakini mkubwa wachawi utawaona tu
Roho zinawauma wenzao wanapotekeleza majukumu yao
Wanapolipwa stahiki zao kwa majibu wa sheria taratibu na kanuni za nchi hii hii
Huyu betty anahamu ya kunywa damu za watanzania pumbafu kabisa!Kwa ubora gani wa hizi barabara zetu? hizi barabara nyembamba ambazo mnapishana na mafuso, ma semi usiku mzima - hawa hawa madareva ambao wanalala anahamia upande wa pili.
Jiandaeni kuchoga majeneza na rambirambi kwa wafiwa.
Basi polisi waje na takwimu, ni wakati gani kulikuwa na ajali zaidi za mabasi, wakati yanasafiri usiku au mchana, takwimu halisi, sio maoniKwa ubora gani wa hizi barabara zetu? hizi barabara nyembamba ambazo mnapishana na mafuso, ma semi usiku mzima - hawa hawa madareva ambao wanalala anahamia upande wa pili.
Jiandaeni kuchoga majeneza na rambirambi kwa wafiwa.
Na wale 19 hawana hoja?Nilipenda sana kufuatilia bunge wakati wa spika SS na hata kipindi cha msekwa. Angalau kulikuwa na hoja za maana. Lakini sasa hivi kuanzia wabunge na mawaziri hakuna mwenye hoja za maana.
Speaker sasa, mmmmh!
BUNGE DHAIFU by PR ASSAD.Bunge mbwa koko. Hawana la maana ni kusubiri posho tu.
Walikuwa zamani akina mdee, matiku, bulaya (kabla hajahamia cdm)Na wale 19 hawana hoja?
Nimekuelewa.Huu uzi ukiusoma kwa umakini mkubwa wachawi utawaona tu
Roho zinawauma wenzao wanapotekeleza majukumu yao
Wanapolipwa stahiki zao kwa majibu wa sheria taratibu na kanuni za nchi hii hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipenda sana kufuatilia bunge wakati wa spika SS na hata kipindi cha msekwa. Angalau kulikuwa na hoja za maana. Lakini sasa hivi kuanzia wabunge na mawaziri hakuna mwenye hoja za maana.
Speaker sasa, mmmmh!
Mkuu naunga mkono hoja.Magari ya abria yaruhusiwe kutembea usiku kucha ila malori yasiruhusiwe. Hakuna sababu ya mabasi kuanza safari saa kumi na mbili asubuhi, mabasi yawe na ratiba zao, dara unaweza kuanza safari hata saa moja usiku na alfajiri unafika mikoani kisha unatoka mikoani mchana dar unafiki usiku. Malori hapana kusafiri usiku yapaki pembeni jua likizama