Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam.
Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji akajenga Mlimani City na leo wana Dar es Salaam na Watanzania wanajivunia Mlimani City.
Hizi habari za kuambiwa umeuza au haujauza haijaanza leo.
Pia soma

- CAG: Mkataba wa Mlimani City Wizi mtupu; Prof Kitila: Mkataba wa Bandari unafanana Kila kitu na Mkataba wa Mlimani City
- Gawio la Mlimani City -UDSM la Sh milioni 44 lamshtua CAG
- Mkataba Mlimani City kufumuliwa baada ya CAG kushtukia upigaji wa kudumu miaka 50-85
- Serikali yabanwa madudu mkataba wa Mlimani City