Kitila Mkumbo: Mkataba wa Bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City

Kitila Mkumbo: Mkataba wa Bandari unafanana kila kitu na mkataba wa ujenzi wa Mlimani City

Ukienda pale Dar es Salaam kuna sehemu inaitwa Mlimani City, na wengine wakienda Dar es Salaam na kama hawajafika Mlimani City wanahisi hawajafika Dar es Salaam.

Wakati tunaijenga Mlimani City tuliambiwa tunakiuza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kumbe tulichukua eneo dogo na kumpa mwekezaji akajenga Mlimani City na leo wana Dar es Salaam na Watanzania wanajivunia Mlimani City.

Hizi habari za kuambiwa umeuza au haujauza haijaanza leo.


Pia soma

CAG: MKATABA MLIMANI CITY WIZI MTUPU

https://www.google.com/url?sa=t&rct...usg=AOvVaw3mDTSNyVm80kA5a6tFpM_u&opi=89978449
KWA HIYO HAPA CAG ALIDANGANYA?
 
Ina maana mabo tayari huko, lini wanaanza kazi?
Mabo: Mambo.
Kwa mala ya kwanza unakosea spelling maandiko yako yote ya mkataba wa DPW.
Unaandika huku jasho linakutoka.

Mwisho utaandika kwa lugha ya Kiarabu huku Damu inakutoka.
Ni swala la muda tu.
Kwa hapa tupo macho.
 
Mabo: Mambo.
Kwa mala ya kwanza unakosea spelling maandiko yako yote ya mkataba wa DPW.
Unaandika huku jasho linakutoka.

Mwisho utaandika kwa lugha ya Kiarabu huku Damu inakutoka.
Ni swala la muda tu.
Kwa hapa tupo macho.
Kapagawa, wameshaambiwa Wazitapike pesa walizohongwa na kashakula [emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo sisi anatuona ndo wachawi wa Dili [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kapagawa, wameshaambiwa Wazitapike pesa walizohongwa na kashakula [emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo sisi anatuona ndo wachawi wa Dili [emoji23][emoji23][emoji23]
Ile kosoa kosoa yake na kamsemo ka

"huko shuleni mlisomea ujinga"

Kameyeyushwa na Mlungula wa DPW.

Kweli Njaa ni Mwana Malegeza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Naomba DPW waweke majina yao halisi hadharani wakiwa wanawadai pesa zao.
Na hakuna namna watawataja tu Waarabu hawakubali dhuluma.
 
Kwani mkataba wa kujenga Mililani City ulikuwa sawa na huu wa IGA ya ujenzi wa Dar Port? Ulikuwa na vipengele vya kupelekana hadi South Africa mkizenguana? CAG wetu ana ubavu wa kuukagua huo mradi wa Dar Port kama alivyokuwa akiukagua huo wa mlimani city?
 
Kwa hili nakubali Ila CCM ni Mbumbumbu kabisa. Nitatoa sababu.
1.Kitila kaibuliwa na CHADEMA kisiasa, baada ya kuonyesha ukakamavu kisiasa akaasi na kukimbilia CCM ambako amesalimisha akili na kuwa hivi anavyoonekana.
2.Katambi aliibukia CHADEMA tena akafikia ngazi kubwa kiasi akiongoza BAVICHA, ghafla alivyokwenda CCM amekuwa kama dekio la jikoni.
3.
4.
The list goes on.
Mbona list ya walioanzia CCM na kuibukia chadema ni ndefu zaidi na inajumlisha hadi akina Mzee Mtei, Dr Slaa, Mh. Mbowe na kadhalika?
 
Huyu tayari kalishwa maharage sasa kavimbiwa akili haifanyi kazi tena, hajui hako kacheo anapita tuu, sijui kwanini watu wakipata vyeo wanaanza kuwa watu wa hovyo, vyeo ni mambo ya kupita tuu
 
1689859850118.png
 
Back
Top Bottom