Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo watakuja kufanya utoto wakiwa watu wazima
Akiongeza kuwa izingatiwe, utoto wa watoto wa sasa hauwezi kuwa sawa na enzi za kina Kitila walivyokuwa watoto, mazingira ya sasa ni tofauti, wakilazimisha watoto wa sasa kuwa kama wa azamani watakuwa wanawakosea.
Akisisitiza kuwa watoto wapewe wafundiswe maadili lakini waachwe kuwa watoto.