Mbona hapo umezielezea sifa zote za CCM? Hujaelezea sifa za uongozi wa upinzani TanzaniaAmesema ukweli. Uongozi wa Taifa ni kujipanga na kujiandaa barabara na kuonyesha viashiria vya tabia za uongozi.Kinachowaponza upande wa pili ni ubinafsi, viongozi wa vyama kukosa maarifa na mbinu, mikakati,kutoongoza kitaasisi na kutosoma mchezo wa siasa.
Mpuuzi naye huyo hana jipyaProf. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.
Chungu lakini ndo dawa yenu.FICHA UJINGA TOA UTOPOLO WAKO HAPA.
Tanu ilipoleta uhuru viongozi wake walijipanga ki sera na ki uongozi?Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.
Angekuwa na msimamo asingehamia ccm. Njaa inamsumbua.FICHA UJINGA TOA UTOPOLO WAKO HAPA.
Wasubiri tuwanyooshe Oct 28. TUNAJAMBO LETU.Huyu na kina Bashiru wanatetea ugali wao tu, uongozi gani wa jpm unaotetea ubaguzi, utekaji na kunyima haki za watu?
Dkt. Magufuli amefanya mengi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kama Waziri na Baadae Rais hivyo ni mgombea sahihi atakaye leta maendeleo kwa manufaa ya Watanzania wote.Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.