Uchaguzi 2020 Kitila Mkumbo: Vyama vya Upinzani havijajipanga kisera na kiuongozi

Uchaguzi 2020 Kitila Mkumbo: Vyama vya Upinzani havijajipanga kisera na kiuongozi

Pumbavu.. sana Njaa n kitu kibaya sana, mkipewega vi vyeo mnasahau mlikotoka..Ulishindwa nn kuzifanyia kazi hizo weakness ukiwa ndani ya chama ?kukimbia ndo solution??
 
CCM kwa mda wa miaka 60 years wamepanga nini zaidi ya rushwa, wizi na umasikini.
 
Kuna taarifa zisizo rasm ya kwanza ya kuwa waziri mkuu wa tz anakuja Kigoma kwa lengo la kufanya utaratibu wa kuiba hzo kur

Tuhuma za Upinzani za aina hii hazijaanza leo. Hakuna jipya. Wakishinda wao, wameshinda kihalali, ikishinda CCM, wameibiwa kura au NEC haiko huru!
 
Pumbavu.. sana Njaa n kitu kibaya sana, mkipewega vi vyeo mnasahau mlikotoka..Ulishindwa nn kuzifanyia kazi hizo weakness ukiwa ndani ya chama ?kukimbia ndo solution??

Subiri kama wiki mbili zijazo atakuwa proved wrong. Kumtukana ni kujiandalia tusi ambalo litakugeukia wewe mwenyewe baada ya matokeo ya uchaguzi kuwa tofauti na unavyofikiria!
 
Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.
Kama wanavyoshindaga kwa kishindo kule zanzibar
 
Kuna wakati namuwazaga Gadafi na Libya yake. Jinsi Libya ilivyokuwa mwanzo kipindi cha Gadafi na Libya ya sasa baada ya Gadafi.
Hekima ni kujifunza kwa kuangalia. Tafakari kwa hatua
 
Bora wajipange madarakani kuliko CCM kubakia madarakani
There is a very thin line between what is perceived to be good and what is actual reality. Its hidden in time. If you crossover you will know in full
 
Malengo/mafanikio yako hayaletwi na kiongozi yeyote, unajiletea/jitafutia mwenyewe, au wewe ni mmoja wa wale wanaoamini mpinzani akishinda atapewa begi la hela?

Angalizo fanya kazi utimize malengo yako
Jielimishe kidogo, kuongozwa haimaanishi kupelekwa/kuletewa begi la hela. Sijajua neno uongozi kwako lina tafsiri gani mana naona unawaza kuletewa begi la hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom