Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,765
Mkuu unataka kusema Jiwe yeye ana haiba ya uongozi?Kitila mkumbo yuko sahihi, Tanzania bado hakuna wapinzani bali kuna wajasiriasiasa, kwa mfano tazama lisu hana hata haiba ya uongozi halafu ndio aongoze nchi, ndio maana tunasema mpinzani wa kweli atatokea ccm
yeye mwenyewe ubungo tia maji tia maji ....... yaonekana bado hawajui watanzania vzr huyu jamaa - amuulize bothi wake kinachomkuta haamini.....Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.
Ana haiba na ndio maana kawa mbunge karibu miaka 20 kawa waziri zaidi ya miaka 15 na anamaliza miaka yake 10 ya uraisi, utamfananisha na huyo takataka lisu?Mkuu unataka kusema Jiwe yeye ana haiba ya uongozi?
Nakwambia ni bora nikuchague wewe na utopolo wako kuliko kumchagua Jiwe
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
AminMungu mbariki Kitila mkumbo yeye na uzao wake"aamin".
Huyo mchumia tumbo tu hana jipya, ngoja tumnyoe kwa chupa hapo Ubungo ndo atajua tumejipangaProf. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda tena 2020 kwa ushindi mkubwa.
Lisu jabari Muulize bwana wako anamjua vizuri. Kapwaya sana mbele ya gwiji Lisu.Ana haiba na ndio maana kawa mbunge karibu miaka 20 kawa waziri zaidi ya miaka 15 na anamaliza miaka yake 10 ya uraisi, utamfananisha na huyo takataka lisu?
Acha utani basiAna haiba na ndio maana kawa mbunge karibu miaka 20 kawa waziri zaidi ya miaka 15 na anamaliza miaka yake 10 ya uraisi, utamfananisha na huyo takataka lisu?
mi nawajua wanyiramba ni watani wangu kwa kurubunika ni wepesi sanaNjaa mbaya sana.
asilimia kubwa maprofesa hawana kipaji cha uongoziMojawapo wa maprofesa wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani, apuuzwe tu na kunyimwa kura
Jacob ni bora kuliko Mkumbo? kazi kweli kweli.Mojawapo wa maprofesa wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani, apuuzwe tu na kunyimwa kura
Njaa Kali!Mbona hapo umezielezea sifa zote za CCM? Hujaelezea sifa za uongozi wa upinzani Tanzania
Aliyepo alijipanga lini why ameboronga kila sehemuAmesema ukweli. Uongozi wa Taifa ni kujipanga na kujiandaa barabara na kuonyesha viashiria vya tabia za uongozi.Kinachowaponza upande wa pili ni ubinafsi, viongozi wa vyama kukosa maarifa na mbinu, mikakati,kutoongoza kitaasisi na kutosoma mchezo wa siasa.