Uchaguzi 2020 Kitila Mkumbo: Vyama vya Upinzani havijajipanga kisera na kiuongozi

Dkt. Magufuli amefanya mengi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa kama Waziri na Baadae Rais hivyo ni mgombea sahihi atakaye leta maendeleo kwa manufaa ya Watanzania wote.
Watu masikini Kama nyie ndo mtaji wa propaganda za wanasiasa
 
Hahaha he is PURICHING, but we are not REACHABLE...!
 
Hivi nani alikuwa anamjua Kitila mkumbo kama sio juhudi za upinzani kukupa nafasi?
 
Ina maana wote wanaokuja kwenye mikutano yake wote mashoga? Basi ni wengi mno !
 
Elimu ya vyeti,ni tofauti na elimu ya naaruifa.profess wa tz aliyeko ccm anapigishwa kwata na graduet wa Kenya,Uganda Rwanda mpaka somalia.
Amigo
 
Kwa hio msaka tongee alipokuwa upinzani alikuwa analijua hili au alikuwa hajui?
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Mkuu wewe unaamini ukiongozwa na jiwe utafikia malengo yako? Kama jibu lako ni ndiyo basi usamehewe bure na kama ni hapana basi unahitaji usaidizi wa kifikra

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Malengo/mafanikio yako hayaletwi na kiongozi yeyote, unajiletea/jitafutia mwenyewe, au wewe ni mmoja wa wale wanaoamini mpinzani akishinda atapewa begi la hela?

Angalizo fanya kazi utimize malengo yako
 
"Professorial rubbish" according to TAL
 

Ukweli siku zote ni mchungu. Jiandae kupokea matusi na kusulubiwa!
 
Kwanza ww umejuaje kama viongozi wa upinzani ni wabinafsi ikiwa hata 75% ya umiliki wa bunge pamoja na mawazili hawajafikia kwa umiliki?
Ww nae ni kalaza kama vilaza wengne
 
Na kwa taarifa yako, watu wa kigoma Zitto kabwe akishasema kwa wananchi wa kigoma kinachofuata ni utekelezaji, kura yake ni kwa Tundu Lissu na kwann mm nimnyime Tundu Lissu.
 
Asema jingalao! Prof Kitila ni nan? Naye ni wa jalalani? Nchi hi tukisikia neno Profesa tunastuka kwa sababu hao maprofesa waliwahi kutamka wenyewe hadharani kuwa huko wanapotolewagwa (vyuoni) ni jalalani!
 
Huyo kitilam ni mweupe tu, tarehe 28 /10 atajua kwamba hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…