Kitimoto kupatikana Zanzibar ni ishara ya uvumulivu

Kwani wamiliki wote wa boti za kwenda Zenji ni Waislamu?
 
Vitu vingine ni ujinga tu, watu wanakariri vitu bila hata kujuwa ukweli. Nguruwe ana ubaya gani, ni nani alikufa duniani au aligeuka kuwa jini baada ya kula mbuzi katoliki? Huyu mze wa busara ameliwa na Mohammed na yule bikra mashuhuri wa Hamas FaizaFoxy mbona anawapikia magaidi huko motoni?
 
Kuweka kumbukumbu sawa hapa JF.

1. Ni kweli nyama ya kitimoto inapatikana Zanzibar lakini ni kwenye maeneo maalum hasa kwenye hoteli za kitalii, nje ya miji, mafichoni.

2. Nyama ya kitimoto sio haramu kwa sheria za Zanzibar. Hivyo ilipaswa iuzwe wazi mabuchani kama nyama ya ng'ombe lakini jamii ya Kizanzibar bado haitaki kukubali hilo, hivyo hatari za uvunjifu wa amani zipo nje nje.

3. Ni rahisi sana kupata bangi, heroin, cocaine ukiwa Zanzibar kuliko kupata nyama ya nguruwe.

4. Wazanzibar wengi kwa sasa ni wanywaji wazuri wa pombe na walaji wazuri mnoo wa kitimoto lakini hufanya hivyo kwa kujificha sana.
 
Yaani kumzuia Mfalme nguruwe zanzibari ni kama kujaribu kuzuia mafuriko ya maji Hanang

Ahsante sana Wazanzibari
 
😀😀😀
 
Wewe hujui tu.Walaji wazuri wa mdudu ni Wajukuu wa Mtume ,hiyo Nakupa sasa laivu bila Chenga;Kwa hiyo hawawezi kuzuia ili hali nao ni watafunaji wazuri wa mdudu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Amemuharibia Bi. Janeth biashara
Unamfahamu Bi Janeth mkuu? Sijui anafananaje kwa sura, lakini nilisikia sifa zake. Ni Jaji mkali hasa!

Nasikia kuna kipindi aliwasweka watu ndani walipoenda kufanya fujo kwenye eneo lake la biashara kwa kisingizio kuwa anauza "mboga" haramu. Baada ya hilo tukio, utulivu ulirejea. Hakuna aliyethubutu tena kumfanyia fujo.

Heshima ilirejea!

Wewe kama unatumia hiyo kitoweo nenda hapo kwenye "gesti" yake. Utaila kwa uhuru kabisa. Ila usiende nayo mtaani. Labda kama una tabia ya kichokozi, lakini usije ukalaumu🤣
 
Aisee! Kama ina msaada, basi wasiotumua kwa sababu za kiimani washauriwe kutumia kwa sababu za kimatibabu.
Koti Moto ina vitamin A nyingi kuliko mayai ya kienyeji.
Na ndio maana ukila kitimoto shavu linakutoka kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…