ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Atamuachaje kitimoto wakati ameshaliwaMungu alipoumba Dunia, ilimpendeza kuwaweka binadamu na wanyama na wadudu wakae 'pamoja'.
Kama Dunia ni 'zizi' la Maulana, basi, ndo ivo alituweka wote tukae kwenye zizi moja.
Huyo mnyama mmoja, asikupe taabu. Ulimkuta Duniani, utaondoka, utamuacha.
Sema waallah tena!!Kitimoto tamu ndugu zangu
Ndio mkuu yani mada inanihusu sana coz nina Butcher ya iyo kitu..Sema waallah tena!!
Unawashwa weweKatika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Wewe ndiyo huna ustaarabu wa kuheshimu imani za wengine.Inasikitisha Karne ya 21 bado hatuna ustaarabu. Kwann?
Tuna uhuru wa kuabudu.Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Unafiki wa Mwafrika ni mbaya sanaWen
Wenye Dini Zao wapo wamoja na wana heshimu imani za wengine ! Sisi Waabudu Mizimu kama asili yetu tunajifanya wafia dini kuliko wenyenazo
Tupia kapicha kabisa. Japo bia haziruhusiwi hukoMuda huu nashushia na Beer baada ya kuichapa kisawa sawa..
Mmh!Tuna uhuru wa kuabudu.
Labda huko zenji ndo mkaweke sheria...
Pombe zinauzwa kiholela.....Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
atizo liko wapi?Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Mudi aliwaharibu kabisaKatika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
Nanyi heshimu imani za wengine, acha kuoa wake zaidi ya mmoja? Kwa imani za wengine ni chukizo la Mungu. Au wasemaje?Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?
ustaarabu wa kunawa mavi na mkono?Inasikitisha Karne ya 21 bado hatuna ustaarabu. Kwann?