ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
Atamuachaje kitimoto wakati ameshaliwaMungu alipoumba Dunia, ilimpendeza kuwaweka binadamu na wanyama na wadudu wakae 'pamoja'.
Kama Dunia ni 'zizi' la Maulana, basi, ndo ivo alituweka wote tukae kwenye zizi moja.
Huyo mnyama mmoja, asikupe taabu. Ulimkuta Duniani, utaondoka, utamuacha.