Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Mungu alipoumba Dunia, ilimpendeza kuwaweka binadamu na wanyama na wadudu wakae 'pamoja'.
Kama Dunia ni 'zizi' la Maulana, basi, ndo ivo alituweka wote tukae kwenye zizi moja.
Huyo mnyama mmoja, asikupe taabu. Ulimkuta Duniani, utaondoka, utamuacha.
Atamuachaje kitimoto wakati ameshaliwa
 
Hana baya akidiss m1 wanamlike 100
FB_IMG_16059609217219726-1.jpg
 
Hilo jina tu hapo anatakiwa kufungiwa bucha lake. Hivi ikatokea mtu akaandika bucha lake waislamu butcher itajenga taswira gani?!

Huyu atafutwe na awajibishwe mpumbavu m'moja kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Pombe zinauzwa kiholela.....
Condom zinauzwa kiholela....
Sigara zinauzwa kiholela.....
Bar zipo kiholela......
Casino zipo kiholela....
Kamari, Bahati nasibu, Betting zipo kiholela...
Kumbi za muziki na Disko zipo kiholela...

Vitu vyote hivyo ni haramu katika uislamu na kwenye dini zingine, pia haviruhusiwi umri chini ya miaka 18, lakini mleta mada havioni kama ni shida, yeye ameona shida ni nyama ya kitimoto kuuzwa kiholela wakati ni kitoweo cha kawaida kwenye familia nyingi, na anaweza kununua na kula hata mtoto mdogo.
 
Mpambano Ni Mkali Sana Lakini Kila Mtu Afanye Anachopenda Kwakuwa Havunji Sheria Za Nchi Hasa Tanzania
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Back
Top Bottom