Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Mbona hulaumu kuhusu jeans ya mgunda kila mechi anaivaa,, binafsi acha kiongozi wa meza aliwe tena iwe saa sita mchana
 
Aende china au nchi USA atajua kitimoto ni nyama yao pendwa ,ngombe ni anasa.
 
Hakuna mahali Waislamu wamekatazwa kula nyama ya nguruwe.

Ninachokumbuka wamekatazwa kula nyama ya nguruwe wakiwa wameshiba kuchelea wasije wakavimbiwa na kuwa walafi.
 
Tena Nyie na Azana zenu,alkasus za modi, makanzu yenu msituletee mitaa.

Nyie DINI ya mwanyazi MNA Matatizo sana. Azana Hadi Leo watu Wana saa simu alam nk...
Nyie wa ajabu sana
 
Hakuna mahali Waislamu wamekatazwa kula nyama ya nguruwe.
Ninachokumbuka wamekatazwa kula nyama ya nguruwe wakiwa wameshiba kuchelea wasije wakavimbiwa na kuwa walafi.
Haujui chochote ujuaji tu
 
Aisee mwacheni bana uyo mdudu mbona manamsimanga hivi huyu bana achemshwe alafu ajirosti alooh, nina wanangu ni waislam na wanamla vizuri na uwaambii kitu ila wakiwa nje wanamponda kinoma
Hakika Sheikh umenena ya kweli, sema Siri ya kambi haipaswi kujulikana
 
Umefuata nini buchani kama hayakuhusu? Tujifunze kuvumiliana! Ila si vyema kuwanyanyasa watu wanaotumia kitu fulani kama hawajavunja sheria, what if na wale wasio kula kuber wakisema ni haramu ? Tunakwandaje?
 
Point
 
Kwa sheria ipi hapa Zanzibar mbona kule pombe wanatunyima
 
Kwahiyo ustaarabu ni kupigia watu makelele asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…