Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Mi naona iyo ni nyama ya Ng'ombe na sio Kitimoto,

Lakini pia mwenye butcher kalenga wateja wake ni wa kristu tu, na kawahakikishia nyama imechinjwa na mkristu mwenzao......!
Hakika. Wana tabu hawa wenzetu. Mimi kwangu nikichinja kuku au kitoqeo chochote kusema huli acha
 
Watu wanajenga Mangalore kwa kupitia huyo mnyama mkuu
Na wewe fuga uza fungua bucha
Kitimoto mmoja alienona bei yake si chini ya 800k hadi 1M
Hapo bado hujauza vitoto
Hapo bado hujakodisha kwa ajili ya kupandishia

See you soon tafuta pesa acha makasiriko..
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Umelazimishwa kununua ?! Umelazimishwa kula ?? Ebo !! Waislamu ni watafutashari, waswahili, wagomvi, watu wenye nongwa, wajuaji na wajinga sana.

Kwahiyo nyie mmepangiwa sehemu za kuuza tende au mnauza popote mtakapo ?! Waislamu ni wajinga sana miaka ya nyuma pale UDOM eti wakaandamana wajengewe msikiti ndani ya chuo. Hawa watu sijui hua wana akili gani
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

umelazimishwa mbona mnakuwa na ujinga vichwani sasa unataka iuzwe vichochoroni wewe unaakili kweli mbona unadharau mboga wewe ndio siyo mstaarabu na tumefika mwisho sasa hii siyo nchi ya imani fulani ni ya watanzania kama bwai na iwe kila kukicha niujinga tuuu
 
Nenda hapo ulipopiga hiyo picha. Agiza kilo moja, mwambie akutengenezee roast kavu na ndizi 2.

Kakaa sehemu ina kivuli, agiza bia mbili za Serengeti Lite wakati unasubiria kitimoto kiwe tayari, akishaleta kula hiyo kitimoto kisha agiza tena bia moja ya kushushia.

Utakuja kunishukuru
Kumbe hata wewe Kinyungu hujui.
Atafute rafiki wa kike,
Waagize kilo mbili roast na ndizi sita zile kubwa.
Wakati wanasubiri waagize konyagi zaizi ya Kati. Wakishakula wahushie na bia mbili mbili.
 
Back
Top Bottom