Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Kitimoto kuuzwa holela si ustaarabu!

Haujui chochote ujuaji tu
Weka hiyo Aya inayo kataza kula nguruwe watu waione.
Mmekatazwa kula mkiwa mmeshiba tu basi. Au niiweke ?

Surah Al-Baqarat: Ayah 173

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ كُلُواْ مِن طَيِّبَٰتِ مَا رَزَقۡنَٰكُمۡ وَٱشۡكُرُواْ لِلَّهِ إِن كُنتُمۡ إِيَّاهُ تَعۡبُدُونَ
*Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Surah Al-An'am: Ayah 145

قُل لَّآ أَجِدُ فِي مَآ أُوحِيَ إِلَيَّ مُحَرَّمًا عَلَىٰ طَاعِمٖ يَطۡعَمُهُۥٓ إِلَّآ أَن يَكُونَ مَيۡتَةً أَوۡ دَمٗا مَّسۡفُوحًا أَوۡ لَحۡمَ خِنزِيرٖ فَإِنَّهُۥ رِجۡسٌ أَوۡ فِسۡقًا أُهِلَّ لِغَيۡرِ ٱللَّهِ بِهِۦۚ فَمَنِ ٱضۡطُرَّ غَيۡرَ بَاغٖ وَلَا عَادٖ فَإِنَّ رَبَّكَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Sema: Sioni katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho harimishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa kiwe ni nyamafu, au damu inayo mwagika, au nyama ya nguruwe, kwani hiyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini mwenye kushikwa na dharura, bila ya kutamani wala kupita mipaka, basi hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

Surah A-Nahli: Ayah 115

إِنَّمَا حَرَّمَ عَلَيۡكُمُ ٱلۡمَيۡتَةَ وَٱلدَّمَ وَلَحۡمَ ٱلۡخِنزِيرِ وَمَآ أُهِلَّ لِغَيۡرِ ٱللَّهِ بِهِۦۖ فَمَنِ ٱضۡطُرَّ غَيۡرَ بَاغٖ وَلَا عَادٖ فَإِنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ
Amekuharimishieni nyamafu tu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa kwa ajili isiyo kuwa ya Mwenyezi Mungu. Lakini anaye lazimishwa bila ya kuasi, wala kuruka mipaka, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Haya nioneshe wapi Nguruwe kakatazwa kuliwa na Waislamu.
 
Walikujaga wageni kutoka bush huko na dini yao,kuwa kata stimu nika chinja mbuzi mimi mwenyewe,eti wakasusa kula kisa nimechinja mimi asee,niliwanyoosha,nikarost na kuchoma nikaagjza na cret la bia wakasusa nakutaka kusepa,nauli hawana walivumilia mpaka shangwe lilipo isha siku ya pili,baadae nikawaambia acheni upumbavu ukija kwangu usilete masharti yako pia muwe wavumilivu na imani za wengine ,mpaka leo nasemwa vibaya sana bush
 
Ukatembea na biti lao, wasilamuuu bwanaa sijui wana akili ganii
 
Kuna siku nguruwe wa jirani alikuwa anaruka bandani akakatika matiti, nguruwe mlaini sana.
tukaenda kumchinja, asee ile kukwarua ukoko wa ngozi inatoka harufu kama ya mtu.

Nilipewa nyama lakini sikuweza kuila.
Kwahiyo wewe ushakula nyama ya mtu!!
 
Kuna Imani zingine za kipumbavu sana.
Yaani wakifunga TV zote kazi kutangaza funga yao, wataomba vyakula vipunguzwe bei, watu wasile kwa uhuru mchana.
Kitimoto haiuzwi chumbani mwako, haiuzwi uani mwako, haiuzwi kwenye ofisi za umma, haiuzwi kwenye maduka yenye bidhaa mchanganyiko.
Yet mnataka tuuziane chumbani kwetu
Hivi mna matatizo gani enyi wanafiki?
Wanashangaza sana, mdudu katundikwa buchani (si nyumbani kwa mtu) ila mtu anatoa povu!
 
Ujinga ni kulazimisha kila mwanadamu aishi kama illusions za dini yako zinavyotaka..huu utofauti wetu ndio furaha na amani kwetu.

Kwanza hiyo kitimoto kama huli kaa kimya fanya yako mana hakuna mtu aliyekushikia bunduki ule.

Huwa nasema ukiwa mshika dini sana halafu ukawa mjinga huna exposure wewe ni tatizo la kudumu kwenye jamii yako.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna siku nguruwe wa jirani alikuwa anaruka bandani akakatika matiti, nguruwe mlaini sana.
tukaenda kumchinja, asee ile kukwarua ukoko wa ngozi inatoka harufu kama ya mtu.

Nilipewa nyama lakini sikuweza kuila.
Ulitaka itoke harufu kama ya perfume!!??? Unazungumziaje harufu ya mbuzi beberu?
 
Katika jamii iliyostaarabika kwanini tusiheshimu Imani za wengine? Mabucha holela kila sehemu. Why?

Hivi sisi tunavyopigiwa kelele saa kumi usiku amkaaaa ,kumekuchaaa,hacha kitandaaaa, mbona kelo nikubwa sana tena balaa lilipo ninyi mtu akiwa na kipato kidogo anajenga nyumba yake ya Ibada sisi hapa kwetu tumewekwa mtu kati kila kona Nyumba ya Ibada hivyo ikifika saa kumi balaa linaanza
 
Kuna kipindi nilipokua border Tunduma ulitokea ugomvi wa nani achinje nyama ya (ng'ombe,mbuzi nk) kati ya waislam na wakristo.

Nyama ikawa Adimu sana na bei kupanda butchers hakuna vitoweo Waislam wameng'ang'ania Machinjioni wakitaka wao ndio wachinje.

Wakristu wakaona isiwe tabu,alfajiri moja wakajihimu huku wakiwa na Lundo la Nguruwe wakiwaswaga kuelekea machinjioni ,waislam nao kuona wanaletewa Vitimoto wakalianzisha timbwili...heavy ila hakuna alieshinda vita ile...
 
Walikujaga wageni kutoka bush huko na dini yao,kuwa kata stimu nika chinja mbuzi mimi mwenyewe,eti wakasusa kula kisa nimechinja mimi asee,niliwanyoosha,nikarost na kuchoma nikaagjza na cret la bia wakasusa nakutaka kusepa,nauli hawana walivumilia mpaka shangwe lilipo isha siku ya pili,baadae nikawaambia acheni upumbavu ukija kwangu usilete masharti yako pia muwe wavumilivu na imani za wengine ,mpaka leo nasemwa vibaya sana bush
Ulijua kuwakomesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787],mtu anakuja kwako anataka kukupangia masharti?,pumbavu
 
Back
Top Bottom