ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Utakuwa na jini subianKuna siku nguruwe wa jirani alikuwa anaruka bandani akakatika matiti, nguruwe mlaini sana.
tukaenda kumchinja, asee ile kukwarua ukoko wa ngozi inatoka harufu kama ya mtu.
Nilipewa nyama lakini sikuweza kuila.