KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Kula KITI MOTO ni sawa na KULA MZOGA.....mnyama GANI anapigwa SURURU au RUNGU ndy ACHINJWE?

Sent using Jamii Forums mobile app

Iyo kupiga rungu ilikuwaga uoga tu wa watu,siku izi anachinjwa vizur sana,tena mtu mmoja tu anamchinja mwenyewe.Mi nafuga mkuu kama unataka nikuletee Pande moja this weekend.Kizuri kula na mwenzio bana.
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin hakuishia tu kuumba wanyama wakali na wajanja wajanja bali alienda mbali sana na kuumba wanyama wa kufuga kama mbuz na kondoo ambao ni kitoweo kizur sana

Lakin muumba alikuwa na wazo la kumuumba mwanadamu hivyo haikuwa rahisi sana kumuumba mwanadamu pasipo zawad safi ya nyama tamu na kitoweo safi kama mbuz katoliki yaan kitimoto, ni kweli mungu alifanikisha hilo akaweza kumpa zawad mwanadamu ya kitimoto ambayo ndo nyama tamu kushinda zote ulimwenguni


Kuna wengine hudai nyama ya kitimoto ni haramu, hakika hawa wasemavyo hivyo hawajui walisemalo maana kama wangekua wanajua wakisemacho wasinge sema hivyo.

Vitu vyote haramu Mungu hakuviumba

Kwahiyo nawambia ambao huwa wanasema nguruwe ni haramu wajue kabisa kwamba vitu vyote haramu mungu hakuviumba kwahiyo wapambane tu na hali zao

Mungu aliwaumbia wanaume wanawake kwa sababu ni halali, mashoga si halali kwa sababu si kusudio la Mungu

Mungu aliwaumbia wanawake wanaume kwa sababu ni hahali kwao, endapo isingikuwa halali muumba asingemufinyanga adam kwa ajili ya eva na eva kwa ajili ya adam

Ni hayo tu lakin kaen mkijua VITU VYOTE HARAMU HAVIKUUMBWA NA BADO HAVIJAUMBWA maana Mungu si mjinga wa kuumba vitu afu viwe haramu

Zaman nilijulikana kama NANYUPU

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

nYaNi wA KaLe
 
Iyo kupiga rungu ilikuwaga uoga tu wa watu,siku izi anachinjwa vizur sana,tena mtu mmoja tu anamchinja mwenyewe.Mi nafuga mkuu kama unataka nikuletee Pande moja this weekend.Kizuri kula na mwenzio bana.
Hakuna mwenye jeuri ya kumchinja huyo MDUDU...kwanza utachinjia wapi na shingo hana? Huyo ni RUNGU TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilipokutana na hubby akajiaminisha atanilisha niwe nakula !alishindwa jaman ananleataga hom amemix na mbuzi mie nikichek tu najuaga hapa usalama hakuna!sili !marafiki zangu waliwah nifungua mdomo kwa ngv hahahaha nililiaaaaa since then hawaniiti kwenye mikusanyiko yao !kwanza ilivyo tu nguruwe sura lake!plus manyoya yake na inavyolia uwiiiiii!

nashanmgaa wanangu wanapokonyana hiyo nyama wanakulaga had kilo kbs naumia moyoni nasema Mungu hawa watt umewafanyaje wale kitimoto jaman !arghhhhhhhhhhhhl
Pepo lako baya sana

nYaNi wA KaLe
 
Kula KITI MOTO ni sawa na KULA MZOGA.....mnyama GANI anapigwa SURURU au RUNGU ndy ACHINJWE?

Sent using Jamii Forums mobile app



“Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi; kwa sababu hakimuingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote. (Marko 7:18)

chakula.jpg


Pia

Matendo 10:9-16 “Hata siku ya pili, walipokuwa wakisafiri na kuukaribia mji, Petro alipanda juu darini, kwenda kuomba, yapata saa sita ya mchana, akaumwa na njaa sana, akataka kula lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia, akaona mbingu zimefunuka, na chombo kikishuka kama nguo kubwa, inatelemshwa kwa pembe zake nne hata nchi, ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watatambaao, na ndege wa angani, Kisha sauti ikamjia, kusema, Ondoka, Petro, uchinje ule. Lakini Petro akasema, Hasha Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi. Sauti ikamjia mara ya pili, ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi, Jambo hili likatendeka mara tatu, kisha kile chomo kikapokewa tena mbinguni“ Kuna watu ambao bado wanapinga kuhusu ulaji wa baadhi ya vyakula na kuviita najisi, Je wanapingana na Neno la Mungu.
 
Hakuna mwenye jeuri ya kumchinja huyo MDUDU...kwanza utachinjia wapi na shingo hana? Huyo ni RUNGU TU

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu am talking out of experience.Nlienda na jamaa shambani,akamtoa nguruwe mkubwa mwenye kilo 120 bandani kwa kumfunga mguu wa nyuma,akamvuta mpaka nje,akamfunga miguu ya nyuma,akamlalia tumboni,akamshika mdomo alafu akapenyeza kisu kwenye shingo mpaka kichwa kikadondoka.Sikuamini kama mtu mmoja ameweza kumchinja bila kupiga rungu.
 
Vitu vyote haramu Mungu hakuviumba..
Kwahio Kula TIGO ya mwenzako inakuaha hapo ni halali au haraamu??
Mmhhhh,,na hilo JINA linatatanisha kweli BABY BOY..Duhh,,!!

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Niko kwa Mtogole Mtumishi! Kabla sijafika Maskani lazima nipite pale kigogo sambusa nipate dose ya Yule mdudu, licha ya kuwa tumeingiliwa na na ndugu zetu imeanza kuwa adimu [emoji15] hawatupi kitu [emoji4]
Hawa ndugu zetu siku hiz wanakula sana haipatikan kwa wingi had wafunge ndo itakuwa inapatikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguruwe ni kharaam si lazima kutii ila utakuja jutia maamuzi yako very soon, mleta uzi sawa no D/Cameron aliye tutangazia ushoga leo yuko wapi UK ipo palepale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hawezi kuumba haramu labda uniambie nguruwe aliumbwa na shetani hata hao mashetani wenyewe Mungu hakuwaumba bali ni kuwa walimuasi Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom