Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #241
Siyo kweli hizo mambo ni kujaza mawazo kichwani tu hazina utamu wala niniSawa kitimoto tam lkn ukwel wa dhati utokao mvunguni mwa moyo Wng kwangu kitam kuliko vyote ni kyuma hakika bwn apewe CFA[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app