KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Sasa kama hawa wanaofugwa ni watamu hivyo hao wa polin sindo balaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo tuu ukila hawa wa polini unaweza hamia polini kwa kuwatafuta,

Wakati mwingine nikizimisi za polini nam_huyu wa kufugwa hafu namtafuta muwindaji anampiga risas hafu namchinjia hukohuko nakuja na nyama kutoka porini[emoji23] [emoji23] [emoji23] kinachofuat khaa nakula huku naamini ni nguluwe pori[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
deep kiss na nguruwe wapi na wapi mama?
 
Tatizo tuu ukila hawa wa polini unaweza hamia polini kwa kuwatafuta,

Wakati mwingine nikizimisi za polini nam_huyu wa kufugwa hafu namtafuta muwindaji anampiga risas hafu namchinjia hukohuko nakuja na nyama kutoka porini[emoji23] [emoji23] [emoji23] kinachofuat khaa nakula huku naamini ni nguluwe pori[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahahhaha umetisha mwana et waweza hamia polin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Nguruwe noma! Jiulze kwanini kilo ya nyama ya ng'ombe 6000 halafu chairfire 12000, jaribu uvumbue ni i kinaipa bei, ni utamu tuu sio kingne

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom