KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

nilipokutana na hubby akajiaminisha atanilisha niwe nakula !alishindwa jaman ananleataga hom amemix na mbuzi mie nikichek tu najuaga hapa usalama hakuna!sili !marafiki zangu waliwah nifungua mdomo kwa ngv hahahaha nililiaaaaa since then hawaniiti kwenye mikusanyiko yao !kwanza ilivyo tu nguruwe sura lake!plus manyoya yake na inavyolia uwiiiiii!

nashanmgaa wanangu wanapokonyana hiyo nyama wanakulaga had kilo kbs naumia moyoni nasema Mungu hawa watt umewafanyaje wale kitimoto jaman !arghhhhhhhhhhhhl
Manyoya yake mbona hayaliwi dada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhh hiyo kitu ni balaaa nyie ilaani tu kwa mdomo wakati moyoni mnaipenda kuliko ata akhera

Lakini tuache uongo ukiwa na tu kachumbari na ugali wa sembe hapo pembeni unaweza kujiona rais mwenza na Magufuli ukasahau shida zote
Acha kunitoa udenda kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi hujabahatisha huyu nguruwe wa polini mkuu[emoji134] [emoji134]
Yaani nguruwe pure anaesimama kwa maana ya nguruwe halisi.

Mkuu hii jamii ya nguruwe sawa na rais na jaji mkuu bongo
Jaji anamuapisha rais lakini hawezi mtengua pia raisi anamuapisha rais lakini hawezi mtengua

Huyu mdudu wanavunjiana tuu record
Sasa kama hawa wanaofugwa ni watamu hivyo hao wa polin sindo balaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa pale wana kitimoto matata sana siku hizi... Usipime
Kilimanjaro Villa ya Sinza kumekucha?

Back
Top Bottom