DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Dollar 50Hahahaaa ukizidiwa nishtue pm nakupa kwa dola $300.
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dollar 50Hahahaaa ukizidiwa nishtue pm nakupa kwa dola $300.
Amina.Mungu ni mwema sana mkuu anatupenda sana hadi akatuletea hii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe[emoji15] [emoji15] [emoji15] hivi hujabahatisha huyu nguruwe wa polini mkuu[emoji134] [emoji134]
Duh unakosa uhondo!jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Unialike na mie tumtafune wote!Huyo anaitwa Mkuu wa Meza.Kila Jumapili unikosi pale Migombani Bar Survey nikimtafuna taaartibu na Coca ya Baridi.
Utamu atakua anaupatia kwingine[emoji3]Ukweli hujawahi kuonja hii kitu kabisa?Basi umekosa utamu wa kipekee duniani.
safi ndugu nikiona post yako ya kubadili jina bila hivyo nisingekujua
Aisee kumbe wewe tuanendana mkuuMimi napenda kula hii nyama nikiwa uchi au na khanga moja. [emoji4] [emoji39] [emoji39]
Mi mapendaga sana watoto wanaobakiki kanga moja hasa wakiwa na chura za kutoshaMimi napenda kula hii nyama nikiwa uchi au na khanga moja. [emoji4] [emoji39] [emoji39]
Picha mbona nilitupia kwa chini mkuumkuu ungechagiza na ki picha japo kimoja cha rosti moja matata na ndizi juu
Ushaul wako una maana sana kwangu mkuu nadhan malue lue ninayo yaona hata wewe kumbe ushayaonaBeira kwanza nikupongeze kwa kubadili id kama moyo wako ulivyotamani[emoji122] [emoji122]
Pili nikushauri tu kuwa kwa kuwa umebadili id sio mbaya ukatafuta mchumba mwingine pia,in good will!
Mbiti hapo utakesha rafiki na sidhani kama utapata faraja ya moyo,!! Leo umeambiwa mtu aliyekua anampenda kabla yk ni jirani[emoji23] [emoji23] kesho utaonyeshwa shemeji yk!
Ni ushauri tu ninyi nyinyi tu wenye maamuzi!
Waveja sana!
DJ sepetu
Biblia gan hii mkuu1Timotheo 4:1-5 inasema "Akusombile Nnungu cha kumemena, pasopa wena"
Shangaa na wewewe jamaa una akili sana manake waislam tunafakamia wote pombe bar na wananunua malaya kama kawaida sasa kipi haram kitimoto au pombe