KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Uchokonozi wa amani yetu tuliyoijenga kwa miongo ya kutosha...vita vya kiimani kama ilivyo central Africa na huko middle east ilichochewa na mizaha midogodogo kama hii...tuitumie hii mitandao ya kijamii kuibua changamoto za kimaendeleo na sio kuibua migogoro isiyo na tija....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh hivi kweli utamu wa kitimoto ndo ulete vita jamani. Nakushauri onja kitimoto ndugu uendelee kufurahia uumbaji wa Muumba.
Kitimoto mtamu banaa
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin hakuishia tu kuumba wanyama wakali na wajanja wajanja bali alienda mbali sana na kuumba wanyama wa kufuga kama mbuz na kondoo ambao ni kitoweo kizur sana

Lakin muumba alikuwa na wazo la kumuumba mwanadamu hivyo haikuwa rahisi sana kumuumba mwanadamu pasipo zawad safi ya nyama tamu na kitoweo safi kama mbuz katoliki yaan kitimoto, ni kweli mungu alifanikisha hilo akaweza kumpa zawad mwanadamu ya kitimoto ambayo ndo nyama tamu kushinda zote ulimwenguni


Kuna wengine hudai nyama ya kitimoto ni haramu, hakika hawa wasemavyo hivyo hawajui walisemalo maana kama wangekua wanajua wakisemacho wasinge sema hivyo.

Vitu vyote haramu Mungu hakuviumba

Kwahiyo nawambia ambao huwa wanasema nguruwe ni haramu wajue kabisa kwamba vitu vyote haramu mungu hakuviumba kwahiyo wapambane tu na hali zao

Mungu aliwaumbia wanaume wanawake kwa sababu ni halali, mashoga si halali kwa sababu si kusudio la Mungu

Mungu aliwaumbia wanawake wanaume kwa sababu ni hahali kwao, endapo isingikuwa halali muumba asingemufinyanga adam kwa ajili ya eva na eva kwa ajili ya adam

Ni hayo tu lakin kaen mkijua VITU VYOTE HARAMU HAVIKUUMBWA NA BADO HAVIJAUMBWA maana Mungu si mjinga wa kuumba vitu afu viwe haramu

Zaman nilijulikana kama NANYUPU

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ungechagiza na ki picha japo kimoja cha rosti moja matata na ndizi juu
 
Mimi nafanyaga iv yaan nakunywa chai asubuh alafu mchana siri nasubili had saa moja nusu naenda zangu kuagiza mdudu na ndiz na peps bariiiidiiiii, alooooo ngoja niishie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mii sinywi chai asubuhi, nasubiria hadi saa saba nane hivi... Ahhh jamani acgeni kitimoto iliwe na wachache tuu, coz wanaoiita haramu wakianza kuila kutakuwa na upungufu mkubwa, na bidhaa yenyewe ilivo adimu....
 
b06d2dde4380959c028cfdfdbde32c8f.jpg


Unaongelea hii!!

[HASHTAG]#God[/HASHTAG]! heal Lissu the Hero#
kitu rosti mkuu hapo upate na ndizi au ugali lazima ujing'ate then unashushia na bia bariiiiidi
 
Kumbe maana kidogo tu nianze kuandaa taraka

Sent using Jamii Forums mobile app
Beira kwanza nikupongeze kwa kubadili id kama moyo wako ulivyotamani[emoji122] [emoji122]
Pili nikushauri tu kuwa kwa kuwa umebadili id sio mbaya ukatafuta mchumba mwingine pia,in good will!
Mbiti hapo utakesha rafiki na sidhani kama utapata faraja ya moyo,!! Leo umeambiwa mtu aliyekua anampenda kabla yk ni jirani[emoji23] [emoji23] kesho utaonyeshwa shemeji yk!
Ni ushauri tu ninyi nyinyi tu wenye maamuzi!
Waveja sana!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom