KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Mdudu special huyo, kama kula vizuri ni dhambi basi wacha tu na iwe maana kuna nyingi mbaya zmeshafanyika.
Mkuu kula mdudu siyo dhambi wala nguruwe siyo haramu wasikudanganye

Kila siku wanauwa watu mamia kwa mamia wanakwambia wanaenda kuona pepo leo hii mimi mla kitimoto ndo nipate dhambi? Hakuna kitu kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Bodaboda zinasababisha sana ajali, lakini bado unapanda tu. Kwichikwichi inaleta ugonjwa usio na tiba, lakini bado umo! Usichague vya kuharamisha.
 
Labda tu nikuweke sawa.

Eva ndiye alieumbwa kwa ajili ya Adamu..na SIO Adam kwaajili ya eva.

Mwanamke Ndiye kaumbwa kwaajili ya Mwanaume na sio Mwanaume kwaajili ya Mwanamke.

It is not two way. It is a straight one way. Thats it.





Sent using Jamii Forums mobile app
Amina balikiwa sana mtumishi lakin hujagusia kwenye mdudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom