KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

nilipokutana na hubby akajiaminisha atanilisha niwe nakula !alishindwa jaman ananleataga hom amemix na mbuzi mie nikichek tu najuaga hapa usalama hakuna!sili !marafiki zangu waliwah nifungua mdomo kwa ngv hahahaha nililiaaaaa since then hawaniiti kwenye mikusanyiko yao !kwanza ilivyo tu nguruwe sura lake!plus manyoya yake na inavyolia uwiiiiii!

nashanmgaa wanangu wanapokonyana hiyo nyama wanakulaga had kilo kbs naumia moyoni nasema Mungu hawa watt umewafanyaje wale kitimoto jaman !arghhhhhhhhhhhhl
Lakin MIC au Koni unaibugia kwa raha zako.
 
We sister ndo maana nakupenda! Inaonekana una akili si za dunia hii, nakuhakikishia utayajua mengi mabaya ya hii dunia, Watu wamepotezwa ndani ya ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20170911_113510.jpg
 
hiyo kitu tumeibatiza jina "NOAH" ili watu wasitushtukie, maana si wengine dn zetu znasema hyo ni haramu, nakumbuka kwa mara ya kwanza kula nililetewa na rafk yangu mmoja hv akanambia ni nyama pori, nilivyokula, sio kwa utamu uleeeee, kia siku nikawa namuulzia ipo wap nyama pori, nae akawa havungi, analeta tu, nami napiga tu, siku nakuja kushtuka utamu ushanikolea na nishakuwa addicted/chronic.......HAKUNA NYAMA KAMA NOAH......
 
jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Pole sana mrembo inamaana hukuona title ya post kabla hujaifungua?

-Ndumilakuwili-
 
Back
Top Bottom