Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Acha tu Iitwe majina mengi,bado sijaona nyama tamu kama kipig
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu Iitwe majina mengi,bado sijaona nyama tamu kama kipig
Ila ungemshauri
Acha kutaja location hadharani zisijelipuliwa na wasopenda Utamu.
Poahnitamshauri nikiwa naye live hv ! hapa hawez nielewa
Duh unakosa utamu sanajaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Unasema MNG hakuumba halamu je shoga nae si aliuumbwa jamani au yy ilikuwaje akawa shoga?Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin hakuishia tu kuumba wanyama wakali na wajanja wajanja bali alienda mbali sana na kuumba wanyama wa kufuga kama mbuz na kondoo ambao ni kitoweo kizur sana
Lakin muumba alikuwa na wazo la kumuumba mwanadamu hivyo haikuwa rahisi sana kumuumba mwanadamu pasipo zawad safi ya nyama tamu na kitoweo safi kama mbuz katoliki yaan kitimoto, ni kweli mungu alifanikisha hilo akaweza kumpa zawad mwanadamu ya kitimoto ambayo ndo nyama tamu kushinda zote ulimwenguni
Kuna wengine hudai nyama ya kitimoto ni haramu, hakika hawa wasemavyo hivyo hawajui walisemalo maana kama wangekua wanajua wakisemacho wasinge sema hivyo.
Vitu vyote haramu Mungu hakuviumba
Kwahiyo nawambia ambao huwa wanasema nguruwe ni haramu wajue kabisa kwamba vitu vyote haramu mungu hakuviumba kwahiyo wapambane tu na hali zao
Mungu aliwaumbia wanaume wanawake kwa sababu ni halali, mashoga si halali kwa sababu si kusudio la Mungu
Mungu aliwaumbia wanawake wanaume kwa sababu ni hahali kwao, endapo isingikuwa halali muumba asingemufinyanga adam kwa ajili ya eva na eva kwa ajili ya adam
Ni hayo tu lakin kaen mkijua VITU VYOTE HARAMU HAVIKUUMBWA NA BADO HAVIJAUMBWA maana Mungu si mjinga wa kuumba vitu afu viwe haramu
Zaman nilijulikana kama NANYUPU
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine order roast uchanganye na ndizi humo humo alafu urudi hapa kutoa ushuhuda😛
KWELI AISEEEEEKitimoto ni nyama ya taifa.
Nenda jukwaa la dinijaman mnaboa mjue !humu si kuna waislam na wasabato? mshindwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni tamu kuliko vyooooteeUkweli hujawahi kuonja hii kitu kabisa?Basi umekosa utamu wa kipekee duniani.
hahahaha [emoji23][emoji28][emoji23][emoji28] ama kweri.!!!nilipokutana na hubby akajiaminisha atanilisha niwe nakula !alishindwa jaman ananleataga hom amemix na mbuzi mie nikichek tu najuaga hapa usalama hakuna!sili !marafiki zangu waliwah nifungua mdomo kwa ngv hahahaha nililiaaaaa since then hawaniiti kwenye mikusanyiko yao !kwanza ilivyo tu nguruwe sura lake!plus manyoya yake na inavyolia uwiiiiii!
nashanmgaa wanangu wanapokonyana hiyo nyama wanakulaga had kilo kbs naumia moyoni nasema Mungu hawa watt umewafanyaje wale kitimoto jaman !arghhhhhhhhhhhhl