KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Uchokonozi wa amani yetu tuliyoijenga kwa miongo ya kutosha...vita vya kiimani kama ilivyo central Africa na huko middle east ilichochewa na mizaha midogodogo kama hii...tuitumie hii mitandao ya kijamii kuibua changamoto za kimaendeleo na sio kuibua migogoro isiyo na tija....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupanic ndugu,migogoro gani ambayo imeibuliwa na ishu ya kula mkuu wa meza?Sepa zako Alahhh
 
Uchokonozi wa amani yetu tuliyoijenga kwa miongo ya kutosha...vita vya kiimani kama ilivyo central Africa na huko middle east ilichochewa na mizaha midogodogo kama hii...tuitumie hii mitandao ya kijamii kuibua changamoto za kimaendeleo na sio kuibua migogoro isiyo na tija....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgogoro upi ambao nimeuibua hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom