Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
- Thread starter
- #221
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguruwe noma! Jiulze kwanini kilo ya nyama ya ng'ombe 6000 halafu chairfire 12000, jaribu uvumbue ni i kinaipa bei, ni utamu tuu sio kingne
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Sio mavuta matupu, kuna stake pia kavu kabisaduh hapana yale malayer ya mafuta yake uwiiiii
![]()
Unaongelea hii!!
[HASHTAG]#God[/HASHTAG]! heal Lissu the Hero#
kwani wamelishwa??[emoji2] [emoji2]jaman mnaboa mjue !humu si kuna waislam na wasabato? mshindwe
Nawe ni wa Migombani Survey? Sema pale nakujaga na kuku wangu wa kienyeji namshambulia pale...kitimoto chao sikukipenda!
Umenikumbusha Mkuu hutupi kitu kwa huyo mnyama [emoji117]Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin hakuishia tu kuumba wanyama wakali na wajanja wajanja bali alienda mbali sana na kuumba wanyama wa kufuga kama mbuz na kondoo ambao ni kitoweo kizur sana
Lakin muumba alikuwa na wazo la kumuumba mwanadamu hivyo haikuwa rahisi sana kumuumba mwanadamu pasipo zawad safi ya nyama tamu na kitoweo safi kama mbuz katoliki yaan kitimoto, ni kweli mungu alifanikisha hilo akaweza kumpa zawad mwanadamu ya kitimoto ambayo ndo nyama tamu kushinda zote ulimwenguni
Kuna wengine hudai nyama ya kitimoto ni haramu, hakika hawa wasemavyo hivyo hawajui walisemalo maana kama wangekua wanajua wakisemacho wasinge sema hivyo.
Vitu vyote haramu Mungu hakuviumba
Kwahiyo nawambia ambao huwa wanasema nguruwe ni haramu wajue kabisa kwamba vitu vyote haramu mungu hakuviumba kwahiyo wapambane tu na hali zao
Mungu aliwaumbia wanaume wanawake kwa sababu ni halali, mashoga si halali kwa sababu si kusudio la Mungu
Mungu aliwaumbia wanawake wanaume kwa sababu ni hahali kwao, endapo isingikuwa halali muumba asingemufinyanga adam kwa ajili ya eva na eva kwa ajili ya adam
Ni hayo tu lakin kaen mkijua VITU VYOTE HARAMU HAVIKUUMBWA NA BADO HAVIJAUMBWA maana Mungu si mjinga wa kuumba vitu afu viwe haramu
Zaman nilijulikana kama NANYUPU
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitia timu Jana hapo... Acha mdudu wa pale duuh!Aisee mimi hapo ndo maskan yangu kwa kila ijumaa lazima nitimbe hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonja hii [emoji117]Sawa kitimoto tam lkn ukwel wa dhati utokao mvunguni mwa moyo Wng kwangu kitam kuliko vyote ni kyuma hakika bwn apewe CFA[emoji120][emoji120][emoji120]
Hata nyanya ina magonjwa mengijaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Vp mkuu ulienda kupigaNiko kwenye mpango wa kwenda kupiga kilo 1 sasa hivi.
Ahahahahaha akifa shekh mipango ya mungukwani wamelishwa??[emoji2] [emoji2]
alafu kabla hujafungua uzi unakiona kichwa cha habari ni kuamua tu kutokufungua uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
Kwanini hupend kitimoto chao mbona huwa kiko poa sanaNawe ni wa Migombani Survey? Sema pale nakujaga na kuku wangu wa kienyeji namshambulia pale...kitimoto chao sikukipenda!
Sent using Jamii Forums mobile app