Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,674
Kula KITI MOTO ni sawa na KULA MZOGA.....mnyama GANI anapigwa SURURU au RUNGU ndy ACHINJWE?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Mungu aliiumba dunia hapo zaman za kale, aliumba wanyama wakali kama simba na wajanja kama sungura, lakin hakuishia tu kuumba wanyama wakali na wajanja wajanja bali alienda mbali sana na kuumba wanyama wa kufuga kama mbuz na kondoo ambao ni kitoweo kizur sana
Lakin muumba alikuwa na wazo la kumuumba mwanadamu hivyo haikuwa rahisi sana kumuumba mwanadamu pasipo zawad safi ya nyama tamu na kitoweo safi kama mbuz katoliki yaan kitimoto, ni kweli mungu alifanikisha hilo akaweza kumpa zawad mwanadamu ya kitimoto ambayo ndo nyama tamu kushinda zote ulimwenguni
Kuna wengine hudai nyama ya kitimoto ni haramu, hakika hawa wasemavyo hivyo hawajui walisemalo maana kama wangekua wanajua wakisemacho wasinge sema hivyo.
Vitu vyote haramu Mungu hakuviumba
Kwahiyo nawambia ambao huwa wanasema nguruwe ni haramu wajue kabisa kwamba vitu vyote haramu mungu hakuviumba kwahiyo wapambane tu na hali zao
Mungu aliwaumbia wanaume wanawake kwa sababu ni halali, mashoga si halali kwa sababu si kusudio la Mungu
Mungu aliwaumbia wanawake wanaume kwa sababu ni hahali kwao, endapo isingikuwa halali muumba asingemufinyanga adam kwa ajili ya eva na eva kwa ajili ya adam
Ni hayo tu lakin kaen mkijua VITU VYOTE HARAMU HAVIKUUMBWA NA BADO HAVIJAUMBWA maana Mungu si mjinga wa kuumba vitu afu viwe haramu
Zaman nilijulikana kama NANYUPU
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwenye jeuri ya kumchinja huyo MDUDU...kwanza utachinjia wapi na shingo hana? Huyo ni RUNGU TUIyo kupiga rungu ilikuwaga uoga tu wa watu,siku izi anachinjwa vizur sana,tena mtu mmoja tu anamchinja mwenyewe.Mi nafuga mkuu kama unataka nikuletee Pande moja this weekend.Kizuri kula na mwenzio bana.
Pepo lako baya sananilipokutana na hubby akajiaminisha atanilisha niwe nakula !alishindwa jaman ananleataga hom amemix na mbuzi mie nikichek tu najuaga hapa usalama hakuna!sili !marafiki zangu waliwah nifungua mdomo kwa ngv hahahaha nililiaaaaa since then hawaniiti kwenye mikusanyiko yao !kwanza ilivyo tu nguruwe sura lake!plus manyoya yake na inavyolia uwiiiiii!
nashanmgaa wanangu wanapokonyana hiyo nyama wanakulaga had kilo kbs naumia moyoni nasema Mungu hawa watt umewafanyaje wale kitimoto jaman !arghhhhhhhhhhhhl
Hakuumbwa shogaUnasema MNG hakuumba halamu je shoga nae si aliuumbwa jamani au yy ilikuwaje akawa shoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula KITI MOTO ni sawa na KULA MZOGA.....mnyama GANI anapigwa SURURU au RUNGU ndy ACHINJWE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwenye jeuri ya kumchinja huyo MDUDU...kwanza utachinjia wapi na shingo hana? Huyo ni RUNGU TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Athar zip hizo mkuuUkiachana na kuwa haramu pia kisayansi ina tu ina atharai ktk mwili sasa we shabikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako wewe mbona kitabu chako kinasema kula ili usifeMijitu ikitaka kuhalalisha haramu huleta sababu nyingi. We kula huku ukisubiri Jahnnamuh
Nijutie kitu gan mkuu hebu faata mambo yako basNguruwe ni kharaam si lazima kutii ila utakuja jutia maamuzi yako very soon, mleta uzi sawa no D/Cameron aliye tutangazia ushoga leo yuko wapi UK ipo palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndugu zetu siku hiz wanakula sana haipatikan kwa wingi had wafunge ndo itakuwa inapatikanaNiko kwa Mtogole Mtumishi! Kabla sijafika Maskani lazima nipite pale kigogo sambusa nipate dose ya Yule mdudu, licha ya kuwa tumeingiliwa na na ndugu zetu imeanza kuwa adimu [emoji15] hawatupi kitu [emoji4]
Kwingine wap unapopajua pana utamuakili zako pia zinafanana na huyo mnyama...
hivi ktk hii dunia utamu zaidi kwako ni nguruwe..??.
Mungu hawezi kuumba haramu labda uniambie nguruwe aliumbwa na shetani hata hao mashetani wenyewe Mungu hakuwaumba bali ni kuwa walimuasi Mungu.Nguruwe ni kharaam si lazima kutii ila utakuja jutia maamuzi yako very soon, mleta uzi sawa no D/Cameron aliye tutangazia ushoga leo yuko wapi UK ipo palepale
Sent using Jamii Forums mobile app
mbitiyaza..ulimhola?jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Akiweka ushahidi nguruwe haramu Mimi walahi nitaacha kumla [emoji4] uongo hata MWENYEZI mnasingizia [emoji15] [emoji86] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] GavanaHawa ndugu zetu siku hiz wanakula sana haipatikan kwa wingi had wafunge ndo itakuwa inapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi jana nilikuwa nawambia hivyo hivyo, mungu hawez kuumba haramu vitu vyote haramu havikuumbwa na havijaumbwaMungu hawezi kuumba haramu labda uniambie nguruwe aliumbwa na shetani hata hao mashetani wenyewe Mungu hakuwaumba bali ni kuwa walimuasi Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app