Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,615
- 3,205
Iyo inanikumbusha mwaka 2008 nikiwa morogoro uko vijijini kwa bibi majira ya saambili usiku kilipita chombo cha umbo la duara juu angani kikiwa na mwanga mkali sana na kikaelekea ktk milima ya Udzungwa, watu wengi walisema ni kimondo kimeanguka lakin hapana. Kimondo kinaanguka kwa anguko la vertical au orizontaly,, ile ilikuwa kinatembea obrique angani tena mwendo wa taratibu na kilikuwa kinaangaza mwanga mkali sana. ARIENS UFO is real