Brother, ulichokiona wewe pamoja na hao wenzio, ni UFO. Vyombo hivyo huonekana mara chache Sana na ni kwa ghafla, na wala huwezi piga pica kwa sababu vifaa hivyo vina kasi kubwa Sana.
Nakushauri, siku ukiona chombo hicho angani , sepa jifiche unaweza ukachukuliwa na vyombo hivyo kimya kimya. Hiyo mianga uliyoiona ni "Laser rays ",ambapo ikielekezwa kwako unaunguzwa na kufa pale pale.
Kama umeona UFO, ujue kuwa vifaa hivyo waliomo ndani yake ni Aliens, (viumbe kutoka outer space. Chunga Sana brother.