Kitu cha ajabu ulichokuta kwa rafiki/jamaa!

Nilikuta mkanda wa kiume kwa demu wangu, halafu na kondom kwenye mkoba wake.

Sijui alinipanga vp!! Sikumbuki
Hahaaaaa..............wewe kwisha habari yako mzee
 
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa
Huyo ameshaathirika kisaikolojia...............msaidie atoke chaputa, kuna madhara mengi siku za usoni ambayo inaweza kuathiri uzazi wake
 
Kuna mwana mwingine nimekuta ana chumba mbili ndani ya master, nyingine amehifadhi jeneza jipya na suti mpya, nikamuuliza what's the meaning of this, akajibu anaandaa makao yake na hataki kuwapa ndugu na jamaa usumbufu wa gharama akiondoka duniani
 
Kuna mwana mwingine nilikuta amejaza vijiko kwenye ndooo ya lita kumi, yaani niliogopa hata kumuuliza maana kichwani nilijua anaiba kwenye sherehe 😀 😀 😀 😀
 
Huyo ameshaathirika kisaikolojia...............msaidie atoke chaputa, kuna madhara mengi siku za usoni ambayo inaweza kuathiri uzazi wake

hahaha sawa mkuu[emoji1787],jamaa alitisha sana
 
Kila nikienda ghettoni kwa demu wangu nakuta matango mawili kwenye friji....miezi nenda miezi rudi hayapungui idadi Sasa huwa najiuliza aliyanunua ya kazi gani Kama siku zote hizo hayali?? And Inshort kwa ninavyomfahamu demu wangu sio mpenzi wa matunda hata
 
Duniani kuna maajabu...................msela amabaye tunaivana kinomo alinionyesha handaki anachimba chumbani kwake, anasema anachimba umbali wa mita 250 akifika huko ndo anachimba zaidi na kufanya iwe chumba, akimaliza anaweka zege na mifumo ya maji, umeme na hewa. Sababu anasema kuna vita kubwa itakuja kutokea hapa so anaandaa makazi yake huko
IMAGINE!
 
Hhahhaaha
Ccm wamemtisha labda
 
Bila Shaka huyo jamaa ako ni Don Nalimison bila shaka maana kwa story hiyo akili zao zinaendana.
 
Nilipowatembelea baadhi ya marafiki zangu kuna vitu vya ajabu nimekutana nazo. Vitu hivi vinachekesha na vingine vinaogofya ama kutisha.

Kuna mmoja nilikuta geto yake ana kitanda cha hospital

Jemba mwingine nilikuta glass 20 za baa geto kwake.

Hebu share nawe ulichokuta kwa rafiki yako ambayo ni amazing, wonderful and inspiring.

[emoji1787][emoji1787]kitanda cha hospitali kilivyo kirefu na chembamba[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mwana mwingine nimekuta ana chumba mbili ndani ya master, nyingine amehifadhi jeneza jipya na suti mpya, nikamuuliza what's the meaning of this, akajibu anaandaa makao yake na hataki kuwapa ndugu na jamaa usumbufu wa gharama akiondoka duniani

Huyu atkw psychopath[emoji1787][emoji1787]
 
Duniani kuna maajabu...................msela amabaye tunaivana kinomo alinionyesha handaki anachimba chumbani kwake, anasema anachimba umbali wa mita 250 akifika huko ndo anachimba zaidi na kufanya iwe chumba, akimaliza anaweka zege na mifumo ya maji, umeme na hewa. Sababu anasema kuna vita kubwa itakuja kutokea hapa so anaandaa makazi yake huko
IMAGINE!
Huyu atakua mla bange
 
Daaaah bange mbaya sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwanangu kanyunyu WA manzese

Analalia godoro tupu lenye mavono bila shuka na analala na viatu

Sufuria anayopikia ndo anatumia Kama kopo la kuogea

Ana vijiko vya mbao vitatu vile ambavyo upareni wanakulaga navyo makande nadhani wengi mnavifahamu vyake Vina almost miaka mpaka vimebadilika rangi

Mwana anaishi na kuku ndani hana banda

Mashada ya maua wanayotumia kuzikia wakirsto mwana baada ya mazishi anachukua yaani anaiba kupambia kwake

Mlango wa kuingia kwake umeandikwa juu la III B Nadhan aliuchomoa (aliiba) shule
 
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa
Haaaaa Haaaaa 😂 jamani sio kweli, haaaa 😂
 
Back
Top Bottom