Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku watanzania watakapogundua kuwa CCM ni chama cha watu tu na Wala hakijatoka mbinguni.Hawa jamaa sijui watangookaje
Ova
Mkuu Allen Kilewella, mimi ni miongoni mwa wana JF wachache humu wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology, huu ni uwezo wa kubaini the motives behind andiko lolote, hivyo nimehisi bandiko hili linanihusu kwasababu mimi ni miongoni mwa wanaosimama na CCM itatawala milele kwasababu hakuna replacement.Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
Wizi, uchawi , fitina, majungu uzembeKila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
Mbona Kenya,Zambia,Malawi wana survive bila vyama vile vilivyoleta uhuru kwenye nchi zao.Je Tanzania inaweza shindwa?Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
Nilijua tu hii mada itamuibuaMkuu Allen Kilewella, mimi ni miongoni mwa wana JF wachache humu wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology, huu ni uwezo wa kubaini the motives behind andiko lolote, hivyo nimehisi bandiko hili linanihusu kwasababu mimi ni miongoni mwa wanaosimama na CCM itatawala milele kwasababu hakuna replacement.
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, no, siasa ni Sayansi, social science, political science, inafuata kanuni za scientific theory ya the Newton's first law of motion ya "The body in motion" ili kitu ki move from hapo kilipo lazima kwanza kutokea forces nyingine, ikimovuzishe, na kikiwa kwenye mwendo, lazima itokee forces nyingine ikisimamishe.
CCM ndio our body as a still body iliyo stands kwenye Ikulu yetu, ili CCM iweze kuondoka Ikulu yetu, lazima iondoshwe!, kwa katiba yetu hii, na sheria zetu hizi, na tume yetu ya uchaguzi hii, kwa vyama vyetu hivi vilivyopo, hakuna chama chenye uwezo huo wa kuiondoa CCM kwenye Ikulu yetu, hivyo kusipotokea mabadiliko, CCM Itaendelea kutawala milele!. This is a fact.
Na kwenye Political dynamics za siasa zetu, CCM ndio iliyopo kwenye motion ya kuiendesha nchi yetu, CCM ndio the body in motion, kitaendelea kuitawala Tanzania mpaka kitokee chama kingine chenye uwezo zaidi to stop CCM!. Vyama vilivyopo hata vikiungana vyote, vikasimamisha mgombea mmoja, bado they can't beat CCM kwenye urais ila kwenye ubunge, udiwani na serikali za mitaa, vitaambulia ambulia.
Kinachofanya CCM iendelee kuwepo ni kukosekana kwa replacement, nothing can exist in hollow, there must be a replacement kwanza ndipo CCM iwe replaced.
Wengi tunakutana tuu humu lakini hatujuani vizuri, sisi wenzenu wengine ni ma Political Consultants, nimefanya projections zangu kuhusu lini CCM inaweza kuanza kuondoka, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Ule uchaguzi wa 2015 ulikuwa ni fursa muhimu na adimu kwa upinzani kuingia Ikulu, mimi as a political consultant, nikajitole kuwasaidia bure CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Nikawaeleza jinsi njia ilivyo nyeupe Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!
Nikawashauri to be focused Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wangefuata ushauri huo, saa hizi Chadema wangekuwa Ikulu toka ile 2015!.
P
Kutugandamizia kwenye lindi la umasikini kwa zaidi ya 60yrs.Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake.
Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
Kwahiyo tufanyeje ili tuwatoe madarakani hawa wanyonyaji wakubwa?Kuna Siri kubwa wengi hamuwajui, CCM kupitia kampuni yake tanzu ya Jitegemee holdings co, limited namiliki migodi mikubwa hasa ya mnakaa ya mawe ambayo imejigawia, na sidhani hata kama bill za umeme wanalipia na watu OSHA na Nemc hawathubutu kukanyaga kwenye migodi hiyo.
Hivi ndio Vitu ambavyo wengi hamvijui hata wanaccm wengi hawajui ndio vinafanya CCM iko tayari kuingiza nchi vitamin kuliko kuachia madaraka Kwa hiyari Wana makandokando ambayo wengi hamuwajui na hata CAG hajui.
Nawachukia sana maccmKukimbiza Mwenge
Ccm ni kichaka cha maovuKuzalisha "Chawa wengi" Aisee Kuna machwa mtaani kibao....ni hatari Sana natudia
Kuna machwa wengi sana mtaani...namaanisha Chawa.
Ubaanzia wapi kuukata sasa?CCM ni Mbuyu unaopaswa kukatwa maana umejaa mashetani mengi sana!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kila kukicha wanabuni miradi mipya ili wapige na ikikamiika wanaitelekeza makusudiWizi na ufisadi wa mali za umma
Sema endapo machawa watasema basi maana tayari watanzania tulishaasema kipindi sanaSasa hizo roli anakwenda kusaini mkataba kila roli hesabu yake million moja plus Kwa siku na diesel wanawekewa na mgodi.
Wanaofaidi CCM siyo hawa machawa wanaoganga njaa humu, wenyewe wapo kimya.
Ndio utashangaa kwenye uchaguzi mtu anafadhiri pesa za rushwa hata hujui anafaidika na nini kumbe ukweli kuna Siri kubwa wengi hawajui.
Baada ya CCM kuifilisi SUKITA wamekuja kivingine na hii Jitegemee holdings co, limited ambayo hata CAG hajui wala haikaguliwi na CAG.
Unapotaka kushindana na CCM basi Kwanza uelewe huu ukwasi inaomiliki CCM ambao wamejigawia kinyemela wakati ni Mali ya Watanzania wote lakini CCM wamehodhi, na nguvu zao ndio zimejificha huko.
Hao wanasiasa wa upinzani wanapiga kelele tu hilo dubwasha CCM linaweza kuondolewa tu pale Watanzania wenyewe watakaposema sasa basi imetosha.
kuwagalalagaza wale wakinamama kwenye mavumbi kule RUANGWAIna maana JPM alivumilia haya ?
Samahani P, tuache ulaghai CCM hivi sasa imeishiwa viongozi wanaoijua siasa na kama wapo hawazidi 10 nao sijui akina nani ila usinihesabie akina Nape, Gambo, Tulia na magarasa wengine, sana dola ndiyo inaishikilia kama ushikiliwavyo mche wa mzabibu, utulivu wa wananchi ndio unaifanya CCM ionenekane kisogo. Chama kinachoishi kwa kufikiria uchaguzi tu hakiwezi kuwa chama bora chama cha kujenga visima enzi hizi! Na barabara wakati hizo lazima zitajengwa na serikali kutokana na makusanyo ya kodi ambazo lazima zitumike nchini.Mkuu Allen Kilewella, mimi ni miongoni mwa wana JF wachache humu wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology, huu ni uwezo wa kubaini the motives behind andiko lolote, hivyo nimehisi bandiko hili linanihusu Bykwasababu mimi ni miongoni mwa wanaosimama na CCM itatawala milele kwasababu hakuna replacement.
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, no, siasa ni Sayansi, social science, political science, inafuata kanuni za scientific theory ya the Newton's first law of motion ya "The body in motion" ili kitu ki move from hapo kilipo lazima kwanza kutokea forces nyingine, ikimovuzishe, na kikiwa kwenye mwendo, lazima itokee forces nyingine ikisimamishe.
CCM ndio our body as a still body iliyo stands kwenye Ikulu yetu, ili CCM iweze kuondoka Ikulu yetu, lazima iondoshwe!, kwa katiba yetu hii, na sheria zetu hizi, na tume yetu ya uchaguzi hii, kwa vyama vyetu hivi vilivyopo, hakuna chama chenye uwezo huo wa kuiondoa CCM kwenye Ikulu yetu, hivyo kusipotokea mabadiliko, CCM Itaendelea kutawala milele!. This is a fact.
Na kwenye Political dynamics za siasa zetu, CCM ndio iliyopo kwenye motion ya kuiendesha nchi yetu, CCM ndio the body in motion, kitaendelea kuitawala Tanzania mpaka kitokee chama kingine chenye uwezo zaidi to stop CCM!. Vyama vilivyopo hata vikiungana vyote, vikasimamisha mgombea mmoja, bado they can't beat CCM kwenye urais ila kwenye ubunge, udiwani na serikali za mitaa, vitaambulia ambulia.
Kinachofanya CCM iendelee kuwepo ni kukosekana kwa replacement, nothing can exist in hollow, there must be a replacement kwanza ndipo CCM iwe replaced.
Wengi tunakutana tuu humu lakini hatujuani vizuri, sisi wenzenu wengine ni ma Political Consultants, nimefanya projections zangu kuhusu lini CCM inaweza kuanza kuondoka, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Ule uchaguzi wa 2015 ulikuwa ni fursa muhimu na adimu kwa upinzani kuingia Ikulu, mimi as a political consultant, nikajitole kuwasaidia bure CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Nikawaeleza jinsi njia ilivyo nyeupe Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!
Nikawashauri to be focused Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wangefuata ushauri huo, saa hizi Chadema wangekuwa Ikulu toka ile 2015!.
P
Jinga kama hili utakuta halijui hata kama Kesho shule zinafunguliwa, Ada zinalipwaje, ili mradi kavimbiwa Kula bure Kwa Shemeji basi wacha ajambejambe tu hapa.Vyama vingine km vepe? Hatuna chama mbadala nchi hii. CCM mbele kwa mbeleee, wataisoma nambaa.
Nini kilikusukuma kuingia CCM utawala wa Magufuli?Mkuu Allen Kilewella, mimi ni miongoni mwa wana JF wachache humu wenye uwezo wa kitu kinachoitwa graphology, huu ni uwezo wa kubaini the motives behind andiko lolote, hivyo nimehisi bandiko hili linanihusu kwasababu mimi ni miongoni mwa wanaosimama na CCM itatawala milele kwasababu hakuna replacement.
Kuna wengi wanadhani siasa ni kupiga blah blah tuu, no, siasa ni Sayansi, social science, political science, inafuata kanuni za scientific theory ya the Newton's first law of motion ya "The body in motion" ili kitu ki move from hapo kilipo lazima kwanza kutokea forces nyingine, ikimovuzishe, na kikiwa kwenye mwendo, lazima itokee forces nyingine ikisimamishe.
CCM ndio our body as a still body iliyo stands kwenye Ikulu yetu, ili CCM iweze kuondoka Ikulu yetu, lazima iondoshwe!, kwa katiba yetu hii, na sheria zetu hizi, na tume yetu ya uchaguzi hii, kwa vyama vyetu hivi vilivyopo, hakuna chama chenye uwezo huo wa kuiondoa CCM kwenye Ikulu yetu, hivyo kusipotokea mabadiliko, CCM Itaendelea kutawala milele!. This is a fact.
Na kwenye Political dynamics za siasa zetu, CCM ndio iliyopo kwenye motion ya kuiendesha nchi yetu, CCM ndio the body in motion, kitaendelea kuitawala Tanzania mpaka kitokee chama kingine chenye uwezo zaidi to stop CCM!. Vyama vilivyopo hata vikiungana vyote, vikasimamisha mgombea mmoja, bado they can't beat CCM kwenye urais ila kwenye ubunge, udiwani na serikali za mitaa, vitaambulia ambulia.
Kinachofanya CCM iendelee kuwepo ni kukosekana kwa replacement, nothing can exist in hollow, there must be a replacement kwanza ndipo CCM iwe replaced.
Wengi tunakutana tuu humu lakini hatujuani vizuri, sisi wenzenu wengine ni ma Political Consultants, nimefanya projections zangu kuhusu lini CCM inaweza kuanza kuondoka, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Ule uchaguzi wa 2015 ulikuwa ni fursa muhimu na adimu kwa upinzani kuingia Ikulu, mimi as a political consultant, nikajitole kuwasaidia bure CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
Nikawaeleza jinsi njia ilivyo nyeupe Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!
Nikawashauri to be focused Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wangefuata ushauri huo, saa hizi Chadema wangekuwa Ikulu toka ile 2015!.
P
Fursa, zilikuwa Zama za Wasukuma akasahau kumbe amekatwa Mkia.Nini kilikusukuma kuingia CCM utawala wa Magufuli?