Tangu uzaliwe hujaenda kabisa club,na pombe hujawai kuonja hata chupa moja?
Uko vizuri aisee,usije ukaonja
Uwiii!! Hadi dada yako nimekushinda mana kimtaani mtaani nliwahi kupigana na mvulana kipindi hicho niko mdogo wee alinidunda nakumbuka kulikuwa na mtaro mdogo tu pembeni akanidumbukiza humo nikaanza kulia hadi dada zangu wakaja kunitowa mana sikupigana tena ikabakia nalia tu huku huyo mvulana ananisubiria kwa juu nitoke aniongeze.Sijawahi kupigana.. Ule ugomvi wa kurushiana ngumi..
Sijawahi kuogelea jamani. Lol