Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kufanya kitu ambacho siyo cha kawaida. Naamini unaelewa kuwa kiubinadamu kwa wale tulio wengi, NI KAWAIDA kufanya kitu ambacho siyo cha kawaida
Sawa
 
Kutumia Halotel+TTCL+Airtel
Kulewa (japo huwa nakunywa castle lite 3 tu)
Kuvaa visuruali kinakamata miguuni Kama za dada zetu
Kunyoa kiduku
Kuendesha Pikipiki (Sitaki hata kujua)
Kupiga Kura
Unieleze Jambo (useme iwe Siri) afu nimwambie mwingine!!!
Hivyo visuruali hata mi siwezi vaa aisee
 
Ne
Neno "vya kawaida" kama ulivyolitumia ni Tata sana! Inategemea vitu vingi sana kama tamaduni, Mila, desturi, nk!
 
Sijawai kumshauri mtu wangu wa karibu yoyote kuhusu mapenzi
 
Mi sijawahi kuvuta bangi na aina yoyote ya mjani japo nakaa na wahuni! Deilee
 
mie kiukweli Sijawahi kupiga KURA kwenye chaguzi ya aina yoyote ile ya siasa hapa tz..kila kipindi najipanga ila zikifika tarehe sina mzuka kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…