Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kutumia Halotel+TTCL+Airtel
Kulewa (japo huwa nakunywa castle lite 3 tu)
Kuvaa visuruali kinakamata miguuni Kama za dada zetu
Kunyoa kiduku
Kuendesha Pikipiki (Sitaki hata kujua)
Kupiga Kura
Unieleze Jambo (useme iwe Siri) afu nimwambie mwingine!!!
Hivyo visuruali hata mi siwezi vaa aisee
 
Ne
Wakuu,

Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.

Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za kiimani nk.

Nikianza na mimi;
1.Sijawahi kabisa kutengeneza juisi ya matunda (Sharubati)katika maisha yangu,pamoja na kwamba huwa natumia ila ni ile iliyotengenezwa na wengine.

2.Sina kabisa akaunti kwenye mitandao maarufu hii mitatu ya Facebook,Instagram na Twitter,habari nyingi napata JF na vyanzo vingine.

Je wewe ni kitu gani ambacho wengine huona ni cha kawaida kufanya ila kwa upande wako hujawai kufanya?

View attachment 1466669View attachment 1466670
Neno "vya kawaida" kama ulivyolitumia ni Tata sana! Inategemea vitu vingi sana kama tamaduni, Mila, desturi, nk!
 
Sijawai kumshauri mtu wangu wa karibu yoyote kuhusu mapenzi
 
Mi sijawahi kuvuta bangi na aina yoyote ya mjani japo nakaa na wahuni! Deilee
 
mie kiukweli Sijawahi kupiga KURA kwenye chaguzi ya aina yoyote ile ya siasa hapa tz..kila kipindi najipanga ila zikifika tarehe sina mzuka kabisa
 
Back
Top Bottom