Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo visuruali hata mi siwezi vaa aiseeKutumia Halotel+TTCL+Airtel
Kulewa (japo huwa nakunywa castle lite 3 tu)
Kuvaa visuruali kinakamata miguuni Kama za dada zetu
Kunyoa kiduku
Kuendesha Pikipiki (Sitaki hata kujua)
Kupiga Kura
Unieleze Jambo (useme iwe Siri) afu nimwambie mwingine!!!
Neno "vya kawaida" kama ulivyolitumia ni Tata sana! Inategemea vitu vingi sana kama tamaduni, Mila, desturi, nk!Wakuu,
Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.
Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za kiimani nk.
Nikianza na mimi;
1.Sijawahi kabisa kutengeneza juisi ya matunda (Sharubati)katika maisha yangu,pamoja na kwamba huwa natumia ila ni ile iliyotengenezwa na wengine.
2.Sina kabisa akaunti kwenye mitandao maarufu hii mitatu ya Facebook,Instagram na Twitter,habari nyingi napata JF na vyanzo vingine.
Je wewe ni kitu gani ambacho wengine huona ni cha kawaida kufanya ila kwa upande wako hujawai kufanya?
View attachment 1466669View attachment 1466670
Sikukuona bwana.Kwani hujaniona toka uzi umeanza nipo,
Acha kujishtukia brother kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawai ishangilia timu yoyote bongo,Sijawahi ishangilia Yanga hata kwa Bure[emoji23][emoji23]
Sijawai miliki iphoneSIJAWAI KUMILIKI SMART PHONE ZAIDI YA MIEZI 3.
Usije kufungua ID ingine out of fear. Kama unaelewa ni nini namaanisha 😁😁Sikukuona bwana.
Ahahahah
Haha haaa.....Utakuwa Arsenale wewe wazee wa stress