Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kujifunga taulo na kutoka nalo hata nje ya chumba cha kulala, kwanza kulifunga nikajiamini siwezi!

Mimi ni muumini mkubwa wa kaptula na tishets
 
Sijawahi kujifunga taulo na kutoka nalo hata nje ya chumba cha kulala, kwanza kulifunga nikajiamini siwezi!

Mimi ni muumini mkubwa wa kaptula na tishets
Unakuta mtu mwembamba litaulo kubwa kama shuka,anazungusha kama mara tatu hivi[emoji3]
 
Sijawahi kutamani kwa kweli, na ile hali sehemu moja wanaogelea watu kama wote maji yanaingia mdomoni wanatema humohumo inanichefuaga kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa. Kwa kuwa unawaza hayo basi ndio imetoka hiyo yaani huwezi tamani mana ukiwaza kuna wengine wanajamiiana, kukojoa na mauchafu kibao.

#Mnaoogeleaga msiseme yale maji yanatembea hivyo kuko salama mule. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…