Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kwenda shule kwa wakati.
Yaani shule ifungue Leo halafu Mimi niende Leo hiyohiyo.
Sijawahi.. Kuna namna tu lazima nivute.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitakupandisha tu siku moja
Mimi huyu?
Walahi siwezi elea kwenye maji.

Halafu kuna ule mtindo Watu wapo gorofani wanasimama kwenye machuma ya pembeni wanachungulia chini,au wakaegemea kwenye Yale machuma..
Yaani katika vitu siji kufanya ni Hiki..bora nikaogelee
 
Ngoja nicheke tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23] Basi ingekua safi tungejua huenda Kuna vi-element vngine tunafanana
Ni pm
Secondary ilikuwa ukichelewa unaenda kupata adhabu lakini Mimi sijawahi kuwahi hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Secondary ilikuwa ukichelewa unaenda kupata adhabu lakini Mimi sijawahi kuwahi hata siku moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3] you have guts Saint Anne
Kuna watu walikua na wenge Sana enzi za secondary schools one week before tayali wapo skuli
Pm me
 
[emoji3][emoji3] you have guts Saint Anne
Kuna watu walikua na wenge Sana enzi za secondary schools one week before tayali wapo skuli
Pm me
Nitakupm nikiifungua mkuu.
Sema Mimi nilikuwa sichelewi sana na sijawahi bahatika kupata adhabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…