Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Yaani unanisingizia naona kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasahivi nimekuwa mtakatifu sana kwenye ule Uzi tangu maajabu yanikute
Teh teh bora hata mimi. Halafu usitake nikuambie alichosema bujibuji kuhusu wanawake wa ileje haki ile comment nilicheka hadi niliscreenshot sema nilishafuta picha nikasema tu anne akipita hapa akaona huu utakuwa ni utani wa ngumi.

Tena alikuwa anajibu comment ya mtu ambaye alitusifia wanawake wa kyela
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi gani huo nikaangalie?
 
Jamani naomba unitag kwa hiyo comment
 
Hiyo namba mbili tupo pamoja mi baaada ya whatsap hasa kwa ajili habar za family ba kazi tu ni jf sina kingine labda netflix naunga kwenye smartv tu kuangalia movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sio kwa kunikomalia huku
Barua kwako

Mpendwa wangu Heaven Sent, natumai u mzima wa afya tele na ninamshukuru Mungu nami ni mzima pia.

Dhumuni la kuandika barua hii, ni kukuomba kwa heshima na taadhima busara na hekima tafadhali sana naomba unitumie picha yako.

Ni matumaini yangu kuwa ombi langu litakubaliwa, natanguliza shukurani zangu za dhati kabisa.

Wako mtiifu
Zoë
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…