Andrew Goldberg
Member
- Sep 13, 2019
- 68
- 136
Nashindwa kabisa kuvaa saa mkono wa kushoto, navaaga mkono wa kulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Kuna vitu katika maisha ambavyo ni kawaida kufanywa na watu kila Siku,lakini inawezekana kwa wengine wakawa hawajawahi kufanya kabisa.
Sababu inaweza kuwa kutopenda,kukosa muda,sababu za kiimani nk.
Nikianza na mimi:
1. Sijawahi kabisa kutengeneza juisi ya matunda (Shalubati) katika maisha yangu, pamoja na kwamba huwa natumia ila ni ile iliyotengenezwa na wengine.
2. Sina kabisa akaunti kwenye mitandao maarufu hii mitatu ya Facebook, Instagram na Twitter, habari nyingi napata JF na vyanzo vingine.
Je, wewe ni kitu gani ambacho wengine huona ni cha kawaida kufanya ila kwa upande wako hujawai kufanya?
Kupuliza hewa kwa nyuma ndio inakuwaje?MIE kulamba k huwa nalamba mpaka chini ya kitovu ila sigusi hata shavu ila nishalambaga sijui kupuliza hewa kwa nyuma. Huyu ni kwa demu nayempenda yani hata nikifa na humu nimemkula naona sjakosa
Aisee[emoji117] Sijawahi kuhudhuria wala kufanya graduation yoyote ile inayonihusu kuanzia O' LEVEL, A' LEVEL mpka CHUO KIKUU.
[emoji117] Sijawahi kufanya birthday party yoyote katika siku yangu ya kuzaliwa na wala Sijawahi kumwambia mtu yoyote anipost kwenye mitandao kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Sijawahi kumuambia mwanafamilia yeyote kuwa nampenda
Sijawahi kutambulisha mpenzi kwa familia wala marafiki
Sijawahi kuvaa suruali kama mtoko
Sijawahi kukaa uchi mbele ya mtu yeyote ( ukiacha enzi za utoto)
Sijawahi kushiriki ibada yoyote nje ya ibada ya kikristo
Sijawahi kuingia na nondo kwenye mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
kupandapo tren (kupanda treni)Sijawahi kupandapo treni
Mambo?Nina zawadi yako ya suruali za mtoko
😀😀Ila shem hiyo ya kukaa uchi sijaielewa!
Mambo?
Aisee... wewe ni lesbian sioSijawahi kusex na mwanaume na haitakuja kutokea,[emoji777]
Sijawahi kwenda kiwanja chochote cha mpira kushangilia japo rafiki zangu wengi ni wana michezo, [emoji2359]
Sijawahi kuomba mtu nisiyemjua pesa,[emoji724]
Sijawahi kukataliwa nikitongoza, [emoji23]
Salama tu. Haki ya nani nimekumiss umepotea sana.Poa dear; za wewe?
Sasa hiyo ndoo utabebea wapi wakati kwenu maji yapo.... wash disher jikon shower bafuniSidhani kama nitakuja kuweza mimi.....Naonaga kama shingo inapinda hivi😂