Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Sijawahi kupigana wala kugombana/kurushiana maneno na sitowahi[emoji1545]

Ahante/nisamehe usiponielewa nakupotezea[emoji1476]
Kuna mazingira furani lazima uchapane ngumi ili kulinda heshima yako.
Kama unaogopa kupigwa kwakuwa una maumbile madogo basi nenda Gym ukajaze misuli ili umchape mtu[emoji23]
 
Kunywa pombe, kuvuta sigara au bangi kuwa na wanawake wengi siwezi kabisa.
Hongera,hivyo vyote ni vishawishi vikuu vya dhambi nyingine ambatanishi
Wizi,
Ugomvi,
Uzinzi
Kuua nk
 
Back
Top Bottom