Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto,
Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe.
Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.