Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Mimi napenda Sana maandazi ya Moto
Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa .labda anichemshie mawe .
Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.
Ahsante kwa kutusanua, kumbe gharama ni ndogo hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna ndugu yangu mmoja anapenda harufu ya undongo ulioliwanishwa au kunyeshewa na mvua.

Mwingine anapenda harufu ya bangi ikiwa inavutwa,alafu huyu wa bangi ni mwanamke.

Mwingine anapenda harufu ya petrol.
 
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto,

Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe.

Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.
Chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom