makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Umetaja andazi akili imekumbuka jambo la ajabu,
Huwa sipendi andazi la siku hiyo hiyo, napenda andazi lililolala, wauza maandazi huwa wananishangaa mnoo, nikifika naulizia andazi la jana, kama hawanijui wanaona kama nawadhihaki vile, wanaonijua yakilala huwa wananishitua mpaka kwa simu.