Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

kunywa maji ya uvuguvugu jion huku nikitazama jua likizama kwenye matope
 
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto,

Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe.

Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.
Me mbona ndo nayaandaa hapa vipi nikupe location?
 
Mimi napenda Sana maandazi ya Moto,

Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe.

Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.
Mpira wa simba na yanga
 
Napenda bangi kupitiliza 🤦‍♀️
Njoo tuwakee madam stick zipo za kutoshaa🤸🤸🤸
IMG_20240809_183717.jpg
 
Back
Top Bottom