Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Mimi napenda Sana maandazi ya Moto
Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa .labda anichemshie mawe .
Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.
Kwahyo ant.....😂😂😂😂😂
Oky sema leo kuna maandazi moto hapa mpaka nashindwa kuongea vizri..
Ila ni ya nazi ubaya wake sizani ka utayapenda
 
Back
Top Bottom