Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kumbe maandazi ya moto ni UJINGA?Mimi napenda Sana maandazi ya Moto
Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa .labda anichemshie mawe .
Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya niliwe kimasikhara jameni.
Uwezi jua kila mtu anatoa tafsiri ya kitu kulingana na mazingira aliyokulia na anavyoishi sasaKumbe maandazi ya moto ni UJINGA?
Hivi tafsiri ya Ujinga ni upi?

Tafsiri ya Ujinga ni kuuliza kama ulivyo ulizaKumbe maandazi ya moto ni UJINGA?
Hivi tafsiri ya Ujinga ni upi?
Kwahiyo maandazi ni ya hovyo ππ.Mimi napenda Sana maandazi ya Moto