Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

Wali wenye ukoko wa baridi mixer maharage ya moto,na chai asub!

Na utu uzima huu, msosi uwa naufuat kwenye sufuria ili nipate wenye ukoko,sifunui hotpot.
 
Kutazama mwanamke alie uchi!
 
Kusikia anguko la kiuchumi kwa mtu ninaye mfahamu
 
Napenda kiporo cha chipsi ninywe na chai asubuhi, nakawaida nazinununua usiku nazilaza kwenye fridge asubuhi napasha nakula😅😅😅
Marehemu baba angu nae alikuwa anapenda sana chips zilizolala.
 
Kutafuna vitu vya plastiki kama peni na vifuniko vya soda za take away... Yaani nikinywa soda, chupa natupa ila kizibo nabaki nacho ili nitafune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…