Hizo mbili za mwanzo ziko sababu zake.
Kwanza Race ya kimasai wanaowana wenyewe kwa wenyewe ambao Ineonesha uingiliano wao hauna vinasaba vya kupata Albino... Kwa huu ukuaji wa Science swala la kupata Albino lipo kabisa ikiwa mmoja wenu au wote mna vinasaba vya Albino.. Ki ufupi ukipata Albino na ukifatilia ki undani kutoka kwako na kwa mwanamke hamna Jua umechapiwa(Ila uwe makini maana yaezekana kuna vizazi vingi vingi vyenu vilivyipota walikuwa nayo)
Lakini miaka ya zamani wamasai na jamii nyingine nyingi walikuwa wakiuwa watoto wenye ualbino wakiamini ni Laana
Pili kuwa na mwanajeshi Albino ndio hakuna kwasababu huo ni ulemavu kama ambavyo huwezi kuta mtu ambae ni kiwete ni mwanajeshi(Kazi ya jeshi kuna ukakamavu sasa ukisha kuwa Mlemavu wa jambo flani huwezi kukidhi vigezo)