Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

Hizo mbili za mwanzo ziko sababu zake.

Kwanza Race ya kimasai wanaowana wenyewe kwa wenyewe ambao Ineonesha uingiliano wao hauna vinasaba vya kupata Albino... Kwa huu ukuaji wa Science swala la kupata Albino lipo kabisa ikiwa mmoja wenu au wote mna vinasaba vya Albino.. Ki ufupi ukipata Albino na ukifatilia ki undani kutoka kwako na kwa mwanamke hamna Jua umechapiwa(Ila uwe makini maana yaezekana kuna vizazi vingi vingi vyenu vilivyipota walikuwa nayo)

Lakini miaka ya zamani wamasai na jamii nyingine nyingi walikuwa wakiuwa watoto wenye ualbino wakiamini ni Laana

Pili kuwa na mwanajeshi Albino ndio hakuna kwasababu huo ni ulemavu kama ambavyo huwezi kuta mtu ambae ni kiwete ni mwanajeshi(Kazi ya jeshi kuna ukakamavu sasa ukisha kuwa Mlemavu wa jambo flani huwezi kukidhi vigezo)
na mtoto bubu nayo inatokana na kurithi vinasaba?
 
Mwana JF yoyote tokea nimejiunga 2012...
Mambo kwa ushahidi😁
9FED81D4-2A45-49D1-8919-2DA99F89C04D.jpeg
 
Raisi house girl .

Rais anaenda kitchen party kuchukua busara za kuongozea nchi.
šŸ’„Sijawahi kuona Samia na kikwete wakipenda uzalendo
šŸ’„Sijawahi kuona rais muislamu tanzania ambaye ni mzalendo
šŸ’„Sijawahi kuona Muhammad akiwa na madhehebu
šŸ’„Sijawahi kuona Yesu akiwa na madhehebu
šŸ’„Sijawahi kuona mwanamke mwenye akili ya uongozi.
šŸ’„Sijawahi kuona shekh asiyekuwa shekh mandazi
 
Back
Top Bottom